Afisa Elimu ya Awali na Msingi Mwl.Salvatory Alute kwaniaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha amewakabidhi Waalimu 29 wa Shule za Awali na Msingi za Halmashauri hiyo vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa madarasa ya Awali vilivyotolewa na Ofisi ya RAIS- TAMISEMI kwa lengo la kuwawezesha Wanafunzi hao kupata mazingira bora na rafiki ya kujifunzia.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.