• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Arusha DC: Wanafunzi 1,225 waanza mitihani ya kuhitimu kidato cha sita mwaka 2018

Posted on: May 7th, 2018

Jumla ya wanafunzi  1,225 wa kidato cha sita, wanaanza mitihani yao taifa leo katika shule kumi za sekondari, halmashauri ya Arusha.

Afisa Elimu Sekondari halmashauri ya Arusha, mwalimu Sophia Msofe amethibitisha kuwa jumla ya wanafunzi 1,225 wanaanza mitihani hiyo, na kufafanua kuwa kati ya hao, wanafunzi 947 ni wa shule (School Candidates) na wanafuzi 278 ni wa kujitegemea (Private Candidates).

Ameongeza kuwa  wanafunzi wa shule watafanya mitihani kwenye shule sita na wanafunzi wa kujitegemea watafanya mitihani kwenye vituo vinne vilivyo kwenye shule za sekondari Ilboru, Winning spirit, Enaboishu na Bishop.

Aidha mitihani hiyo inaambatana na mitihani ya vyuo vya ualimu ambapo jumla ya wanafunzi 36 wanategemea kufanya mitihani hiyo, kwenye vyuo viwili vya Bidhop na Kisongo.

Aidha Afisa Elimu Msofe amethibitisha kwa, maandalizi yote yamekamilika na mitihani itafanyika kulingana na ratiba ya mitihani iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).

Hata hivyo Afisa Elimu huyo, ameongeza kuwa kati  ya shule  mbili kati ya shule kumi, zinazofanya mtihani leo, shule hizo zinafanya mtihani huo kwa mara ya kwanza.

Amezitaja shule hizo ni Mlangarini sekondari na Mwandeti sekondari, ambazo zilianza kupokea wanfunzi wa kidato cha tano kwa mara ya kwanza  mwaka 2016.

Uongozi wa Halmashauri ya Arusha unawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa kidato cha sita  wanaoNza mtihani yao leo, waweze kufanya vizuri na  kupata matokeo mazuri kwenye ufaulu.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.