• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAFUNZI 722 KUANZA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU KESHO, ARUSHA DC

Posted on: June 28th, 2020


Na. Elinipa Lupembe.

Jumla ya wanafunzi 722, halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru, wanatarajia kuanza mitihani yao ya kuhitimu kidato cha sita na vyuo, inayoanza kesho tarehe 29.06.2020 kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa -'NECTA'.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Afisa Elimu Sekondari, Menard Lupenza amefafanua kuwa, jumla ya wanafunzi 722 watafanya mitihani ya kidato cha sita, mithani itakayofanyiaka kuanzia tarehe 29.06.2020 na kumalizika tarehe 15.07.2020.

Ameongeza kuwa idadi hiyo ya wanafunzi  722, inajumumuisha wanafunzi 689 wa kidato cha sita  ikiwa wasichana ni 381 na wavulana 342 pamoja  na  wanafunzi 33 wa vyuo vya Ualimu, ambapo wavulana ni 11 na wasichana 22.

Hata hivyo Afisa Elimu huyo amesema kuwa, maandalizi yote ya mtihani huo tayari yamekamilika kufuatia ratiba ya Baraza la Mitihani la Taifa na wanafunzi wameandaliwa vema na wako tayari kwa kufanya mitihani hiyo.

"Maandalizi ya mitihani yamekamilika, kufuatia atiba ya mitihani iliyotolewa na NECTA, na wanafunzi wameandaliwa vema tayari kwa mitihani hiyo" amesema Afisa Elimu Lupenza.

Naye Mkuu wa shule ya Sekondari Mringa, mwalimu Salum Magaka, amethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya watahiniwa shuleni kwake, na kuongeza kuwa jumla ya watahiniwa 145 wanategemea kufanya mitihani ya kidato cha sita, huku wanafunzi wote wakiwa tayari kwa  mitihani hiyo  kwa mujibu wa ratiba ya Baraza la Mitihani.

"Licha ya wanafunzi kukaa nyumbani kwa muda mrefu kutokana na ugonjwa wa Corona, lakini walimu wa masomo walikamilisha mada zote walizotakiwa kusoma, na wanafunzi wameandaliwa vizuri kisaikolojia na kitaaluma na wako tayari kufanya mitihani inayoanza kesho, na nina hakika watafanya vizuri na kupata ufaulu wa juu".  Amesema Mkuu wa shule ya Sekondari Mringa

Awali Katibu Mkuu Baraza la Mitihani la Taifa Dkt. Charles Msonda amewataka wasimamizi wa mithani kuepuka vitendo vya udanganyifu na kufuata kanuni, sheria na taratibu za mitihani ya Taifa na kuwaonya wamiliki wa shule binafsi, kutowaingilia wasimamizi wa mitihani hiyo.

Halmashauri ya Arusha, inawatakia kila  la kheri wanafunzi wote wa halmashauri Arusha, pamoja na watahiniwa wote Tanzania, katika mitihani yao ya kuhitimu kidato cha sita, wafaulu vizuri ikiwa ni mandalizi ya kuelekea vyuo vya elimu ya juu.




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.