Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Einot wakifuatilia kwa Umakini Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Laban Kihongosi mara baada ya ukaguzi wa ujenzi wa Bwalo la Chakula Katika Shule hiyo.
Aidha Mhe. Kenani amewahasa wanafunzi kusoma kwa bidii na kuzingatia wanachofundishwa na walimu wao, vile vile Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt, Samia Suluhu inafanya juhudi kubwa kutengeneza Mazingira rafiki itakayo wafanya wao kusoma kwa bidii.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.