Wanafunzi wa shule ya sekondari Ilkiding'a wapo tayari kuhesabiwa !!!
WEWE JEE??
SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
Ewe mwanafunzi, jiandae Kuhesabiwa 23.08.2022.
Sensa kwa Maendeleo ya Taifa✍✍
"Lengo la Sensa ya watu una makazi ni kupata taarifa sahihi za Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira kwa lengo la kupata Takwimu sahihi zitakazoiwezesha Serikali na wadau wengine kupanga kwa usahihi mipango ya maendelo ya watu wake katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Elimu"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.