• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANANNZENGO WA MTAA WA IKIGIJI WAMUAGA MAREHEMU RAS KWITEGA

Posted on: February 5th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

Wanannzengo wa mtaa wa Ikigiji eneo la Boswelu Manispaa ya Ilemela, wamejitokeza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha,marehemu Richard Kwitega, kwenye makazi yake yaliyoko eneo la Boswelo, Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza.

Katika kutoa salamu za mwisho, Wannzengo hao wamemuelezea marehemu Kwitega, kuwa alikuwa mtu wa tofauti sana, na jirani mwema kwao, licha ya kipindi kifupi walichoishi naye, katika Nnzengo hiyo ya Ikigiji. 

Akitoa salamu za pole mbele ya mamia ya waombolezaji, waliofika kwenye makazi ya marehemu Kwitega, Mwenyekiti wa huduma za  Jamii,  Nnzengo ya Ikigijo, Christopher Kilasa, amemuelezea marehemu akwitega kuwa kwa muda mfupi walioishi naye walimfahamu kwa ushiriki wake katika masuala ya kijamii licha ya kuishi eneo hilo kwa  muda mfupi.

"Marehemu alikuwa jirani yetu mwema, asiye na makuu, wengi hawakujipambanua na cheo chake, bali aliheshimu kila mtu wa Nnzengo hii bila kujali uwezo wake kiuchumi, hakuwa mbinafsi bali alikuwa ni mkarimu, mwenye upendo aliyeshirikiana na majirani kila aliopofika katika Nnzengo ya Ikigiji" amesimulia Mwenyekiti huyo wa Nnzengo ya Ikigijo

Hata hiyo wananchi hao waliweka wazi hisia zao za majonzi, mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, mheshimiwa Idd Kimanta, kuelezea namna kifo cha marehemu Kwitega kilivyotokea, akiwa safarini kutekeleza majukumu yake ya kazi, na kumuelezea namna alivyokuwa mchapakazi na mwenye kujituma katika kazi huku akiwa na ushirikiano mkubwa na wafanyakazi wenzie bila kujali nafasi zao

Awali marehemu Richard Kwitega, alifariki kwa ajali ya gari, iliyotokea eneo la Mdolii - Babati mkoani Manyara, akiwa safarini kuelekea mkoani Dodoma kikazi.


PICHA ZA MATUKIO WAKATI WA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO, NYUMBANI KWA MAREHEMU KWITEGA 






Matangazo

  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA TATU 2O21/2022 tarehe 09.05.2022 May 08, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA ARUSHA DC,BW.SELEMAN MSUMI AKIWA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO KATIKA MASDHIMISHO YA MEI MOSI KIMKOA ARUSHA

    May 02, 2025
  • HERI YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • HERI YA SIKU YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • MHE. MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.