• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WATEULE WA VYAMA 6 VYA SIASA WATANGAZWA KUINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA UBUNGE ARUMERU MAGHARIBI

Posted on: August 25th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

  Msimamizi wa Uchaguzi, Jimbo la Arumeru Magharibi, Saad Mtambule, ametangaza majina ya Uteuzi wa Ubunge Jimbo hilo, uteuzi uliofanyika kwa mujibu ya ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuanzia tarehe 12- 26 Agosti, 2020 saa kumi kamili Jioni.

   Msimamizi huyo  wa Uchguzi amefafanua kuwa, jumla ya Wateule wa Ubunge 12 kutoka vyama 12 vya siasa, walichukua fomu za Uteuzi katika Jimbo hilo na baadhi yao, kuzirejesha fomu hizo kwa wakati kwa mujibu wa kanuni na taratibu zilizotolewa nanTume ya Taifa ya Uchaguzi.

    Kati ya Wateule hao 12, wateule 6 wa vyama sita vya siasa walikidhi vigezo na kuteuliwa huku wateule 3 wa vyama vitatu vya siasa waliorejesha fomu hawakukidhi vigezo na kushindwa kuteuliwa.

     Aidha amewataja Wagombea walioteuliwa ni pamoja na Mch. Laiser Loilile Wison wa Chama cha NCCR- Mageuzi, Tumaini Andrea Akyoo wa chama cha  UPDP,  Noah  Lembris Saput Mollel wa Chama cha Mapinduzi- CCM,  Lairumbe John Kivuyo wa Chama cha ACT- Wazalendo, Gibson Ole Mesaiyek wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA  na  Arafa Mohamed Muya wa Chama cha Wananchi CUF.

    Hata hivyo amewataja Wateule ambao walichukua fomu na kuzirejesha lakini hawakukidhi vigezo vya kuteuliwa ni pamoja na Ramadhani Lila Msoma wa chama cha AAFP, Elias Fatael Chonjo wa Chama cha Sauti ya Umma - SAU na Frida Marko Nnko wa chama cha UMD.

    Wateule amabao walichukua fomu za Uteuzi wa Ubunge na hawakuzirudisha  kwa Msimamizi wa Uchaguzi ni pamoja na Mteule wa Chama cha Demokradia Makini, Chama cha Kijamii - CCK na Chama cha ADC- Dira ya Maendeleo.

     Msimamizi huyo wa Uchaguzi, ametangaza ratiba ya Kampeni za Uchaguzi kuanza rasmi kesho tarehe 27 Agosti mpaka tarehe 27 Oktoba, 2020 na kuwataka wagombea wote walioteuliwa, kufanya kampeni za kistaarabu na kuepuka lugha za kejeli na matusi huku akiwasisitiza  wananchi kwenda kwenye mikutano ya kampeni na kusikiliza sera za wagombea ili kuchagua viongozi bora siku ya Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ifikapo ya tarehe 28 Oktoba 2020.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.