Wazee toka Kata ya Moivo Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wameishukuru Serikali kwakuwaingiza katika mpango wa TASAF ambao umewawezesha kupata ruzuku ambayo imewasaidia katika kuanzisha biashara ndogondogo zikiwepo ufugaji wa kuku, mbuzi, na ng'ombe ambazo zimewasaidia kuinua vipato vyao kiuchumi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.