• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI KAIRUKI ATAKA UTUMISHI ULIOTUKUKA TAMISEMI.

Posted on: October 9th, 2022

Angela Msimbira TAMISEMI

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amewataka watumishi wote wa Wizara, Taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kufanyakazi kwa kuheshimiana, kuaminiana na kushirikiana ili kumsaidia Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Ametoa kauli hiyo leo Oktoba 6, 2022 jijini Dodoma mara baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

“Najua uwezo wa  watumishi wa Ofisi ya Rais –TAMISEMI, wanataaluma na uwezo mkubwa, hivyo tumienu utaalam wenu kunishauri na ninaamini kwa nguvu niliyoiona hapa tutafanikiwa”  amesema Waziri Kairuki

Waziri Kairuki amewataka watumishi hao kufanyakazi kwa uwazi, weledi na kuhakikisha kazi zinakamilika kwa wakati na ubora wa maandiko ili kufikia malengo yaliyowekwa na Wizara.

“Tuwe wawazi na moyo mweupe maana mimi ni mkali ukienda ndivyo sivyo, tukamilishe kazi kwa wakati, lakini kuwepo ubora wa andiko unaloleta likiwa vibaya tutagombana na safari itaishia hapo lakini naamini kwa nguvu ninayoiona hapa tutafika mbali,”amesisitiza Waziri Kairuki.

Vilevile, amewataka watumishi hao kuacha kufanyakazi kwa mazoea na kuendekeza majungu bali amewataka kila mmoja kwa nafasi yake kutimiza majukumu yake kwa wakati na kikamilifu lengo likiwa ni kuhakikisha tunawadumia wananchi.

Awali, akizungumza kabla ya kukabidhi ofisi, Waziri Bashungwa amemhakikishia  Waziri Kairuki kuwa atakuwa sehemu ya ushirikiano huku akiwaasa watumishi hao kuendelea kufanyakazi kwa ushirikiano na  kuwa timu moja.

Naye, Naibu Waziri Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Mhe. David Sil CGinde ameeleza katika utawala huu wa awamu ya sita hakuna kijiji ambacho hakina mradi wa serikali huku akimwahidi ushirikiano Waziri Kairuki.








Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.