Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 22, 2024 amefanya Kikao Kazi na Kamati za Usalama za Mikoa na Wilaya na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa ngazi ya Mikoa. Mheshimiwa Majaliwa amefanya kikao hicho kwa njia ya mtandao akiwa Ofisi Ndogo za Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam.
Viongozi wa Mkoa wa Arusha wamehudhuria kikao hicho kilichofanyika kwa njia ya mtandao ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.