Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) akigusa kishikwambi kuashiria uzinduzi rasmi wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma.
Mhe. Majaliwa baada ya kuzindua zoezi hilo alipata fursa ya kushuhudia hatua ya zoezi la uandikishwaji kwa mpiga kura na kumkabidhi moja ya mwandikishwa kadi yake .
Awali wakati akihutubia wananchi waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika uwanja wa Kawawa uliopo Halmashuauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji, Mhe. Majaliwa amewataka raia wote wa Tazania wenye sifa wajitokeze kujiandikisha kuwa wapiga kura na kuwa zoezi hilo litawahusu raia wa Tanzania tu.
Mhe. Majaliwa amesisitiza kuwa zoezi hilo ni kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi na kwamba wasio raia wa Tanzanai
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.