• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI WA MAJI, AWAAHIDI WANANCHI WOTE WA LENGIJAVE KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA

Posted on: March 3rd, 2020

Waziri wa Maji,Mhe. Prof. Makame Mbarawa, amewahakikishia wananchi wa maeneo ya Lengijave kupata maji safi na salama, kama ilivyo adhma ya Serikali ya awamu ya tano, kufikisha huduma za maji kwa wananchi wa vijijini.

Waziri Mbarawa, amesema hayo, wakati alipotembelea na kukagua mradi wa maji wa vijiji vitano, halmashauri ya Arusha kwa  uliofadhili wa na Idara ya Maendeleo ya Kimataifa Uingereza 'DFID',  na kutekelezwa na shirika la WaterAid.

Kauli hiyo ya Waziri wa Maji, imekuja baada ya Diwani wa Kata ya Lengijave, Mhe. Kalanga Laizer, kuomba mtandao wa maji, kuongezwa ili kuwafikia wananchi wote, kutokana na  utekelezaji wa Mradi huo, kutokuwafikia baadhi ya maeneo, nakuongeza kuwa wananchi hawa wanachangamoto ya maji yenye madini ya Floraidi.

Waziri Mbalawa, amesema anatambua changamoto nyingi katika utekelezaji wa miradi ya maji, ikiwa ni Wasanifu wa miradi na wakandarasi, lakini  Wizara ya Maji, imejipanga sasa kutekeleza miradi ya maji kwa kutumia 'forced account' na watalamu wa ndani, jambo ambalo litawezesha miradi mikubwa kutekelezwa kwa gharama ndogo, na mtandao wa maji kuwafikia wananchi wengi, katika maeneo yao.

"Ninajua wananchi wa maeneo haya wanapata maji yenye madini ya Floraidi, lakini niwahakikishe, wanachi wote wa maeneo haya watapata maji safi na salama, kupitia miradi ya wizara itakayotumia forced account, nawasihi pia tutunze miundombinu ya maji na vyanzo vya maji, tusipovitunza tutakuwa tunapoteza fedha hizi tunazotekelezea miradi hii" amesisitiza Waziri huyo wa Maji.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amemuagiza Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, kuwashughulikia wale wote wanaohujumu  na kuharibu miundombinu ya maji, katika mradi huu, na kumtaka kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria.

Lomunyaki Laizer, mkazi wa Lengijave, licha ya kuishukuru serikali kwa mradi huo wa maji, amesema kuwa, uhaba wa maji Lengijave, unaathiri uchumi wa familia zao, kwani wakina mama hutumia muda mwingi kutafuta maji badala ya kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.

Awali, mradi wa maji wa Vijiji Vitano, umesanifiwa  kutumia teknolojia  bunifu ya malipo ya kabla, ili kuwezesha jamii kupata huduma endelevu ya maji safi na salama kwa kutumia mitambo maalumu ya kuchuja maji, na kuhudumia wananchi elfu 23 kwa sasa na kufika hadi wananchi elfu 50, ifikapo mwaka 2039.

 





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.