• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojiri baada ya Waziri Jafo kutembelea ujenzi wa kituo kipya cha Afya cha Ilkurot kata

Posted on: March 17th, 2018

# Apongeza juhudi za wananchi wa halmashauri ya Arusha kwa kujitoa kuchangia kwa hali na mali ujenzi wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao, na kuwataka watanzania wengine kuiga mfano huo.

# Uchangiaji huo umeanza kuondoa kasumba ya watanzania kusubiri wageni kutoka Ulaya kutujengea miradi ya maendeleo yetu binafsi. Zaidi ameridhishwa na hatua ya wananchi wa kijiji cha Ilkurot kuanza ujenzi wa kituo cha afya ndani ya kijiji chao kwa kuchangishana wenyewe, kituo ambacho kitahudumia wakazi wa kata nzima ya Olkokola.

# Serikali itaandaa mipango ya kuongezea nguvu na kuhakikisha kituo kinakamilika na kuanza kufanya kazi mwishoni mwa mwaka huu 2018, ili kuunga mkono juhudi za wananchi wa Ilkurot.

# Wananchi wa Ilkurot wana sababu ya msingi kujenga kituo cha afya,kutokana na changamoto ya kutembea Kilomita 16 mpaka 20 kupata matibabu kwenye hospatali ya Seliani Ngaramtoni, hospitali ya wilaya Olturumet na hospitali ya mkoa Mount Meru.

# Lengo la serikali ya awamu ya tano,ni kuhakikisha kila kata inakuwa na kituo cha afya, na mwananchi apate huduma ya afya ndani ya kata yake.

# Serikali imeanza kwa kuboresha miundo mbinu ya vituo vya afya 250 na kuwa na hadhi ya nyota tano, kwa kukujenga maabara, wodi za kulaza wagonjwa, wodi za wazazi,jengo la upasuaji na jengo la kuhifadhia maiti.

# Serikali ilitoa shilingi milioni 500 kuboresha miundo mbinu ya kituo cha afya Nduruma ndani ya halmashauri hii baada ya kuridhishwa na juhudi za wananchi hao kujenga kituo hicho kwa nguvu zao, hata baada ya kupeleka fedha, wananchi walijitoa kwa hali na mali kusimamia ujenzi huo, kituo sasa kiko hatua za mwisho kukamilika.

# Serikali ya awamu ya tano imeongeza bajeti ya dawa na kurahisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwenye zahanati, vituo vya afya na hospitali zake za serikali kwa kuboresha bohari ya dawa ya taifa 'MSD'.

#Amuagiza  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha kutafuta pesa kuongeza nguvu za ujenzi wa kituo hicho cha Afya.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.