• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yalojiri kwenye Mkutano wa Baraza la madiwani la robo ya pili 2017/18

Posted on: February 20th, 2018


## Idara ya Ardhi imetakiwa kuweka vibao vinavyotambulisha maeneo ya Halmashauri ya Arusha kwenye maeneo yote ya mipaka halmashauri.

## Maeneo yote yanayomilikiwa na halmashauri ambayo hayajaendelezwa yakabidhiwe kwenye shule za jirani na maeneo hayo yatumiwe na shule hizo kama mashamba darasa na baadaye shule hizo kujipatia chakula cha wanafunzi kwa muda wote ambao halmashauri inasubiri utekelezaji wa mipango iliyokusudiwa katika maeneo hayo.

## Watumishi wa serikali wametakiwa kuacha tabia ya kujihusisha na masuala ya siasa kwenye maeneo yao ya kazi badala yake kufanyakazi kwa bidii na weledi kwa kuzingatia sheria na kanunu za utumishi wa Umma na kuwahudumia wananchi bila kujali itikadi zao kwa maslahi ya taifa.

## Wananchi wametakiwa kuendelea kujitoa kuchangia shughuli za maendeleo kwenye maeneo yao kwa kukubaliana wenyewe kwenye mikutano ya vijiji hasa kuchangia chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule za kutwa waweze kupata chakula cha mchana wawapo shuleni.

## Wananchi wametakiwa kutambua umuhimu wa kulipa kodi na ushuru elekezi kwa kuwa mapato hayo ndio yanaendesha halmashauri ikiwemo miradi na shughuli za maendeleo zinazotekelezwa kwenye vijiji vyao kwa kurudishiwa asilimia sitini ya mapato hayo.

## Halmashauri bado inakabiliwa na changamoto ya nyumba za watumishi hasa wanaofanyakazi kwenye kata za pembezoni maeneo ambayo hakuna nyumba za kupangisha jambo linaloathiri utendaji wao wa kazi.

## Mamlaka ya Mji Mdogo Ngaramtoni imetakiwa kuweka mikakati thabiti ya kupata eneo la kujenga ofisi za kudumu za Mamlaka hiyo.

## Ifahamike kuwa Kijiji cha Madebe kilichoko kwenye mpaka wa halmashauri ya Arusha na Meru kipo halmashauri ya Meru na si halmashauri ya Arusha, hii ni kwa mujibu wa GN no 190 ya mwaka 2007 inayogawa halmashauri ya Arusha na halmashauri ya Meru.

## Madiwani wametakiwa kufanya mikutano ya kata 'WDC' kwenye kata zao pamoja na kukutana na wananchi kwenye Mikutano mikuu ya vijiji na kuwaelezea shughuli za maendeleo zinazotekelezwa kwenye maeneo yao ikiwemo miradi inayotekelezwa huko pamoja na kusimamia usomaji wa taarifa za mapato na matumizi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.