Halmashauri ya Arusha ilipokea fedha kutoka Serikali kuu kiasi cha shilingi milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la mionzi (Radiology) na jengo la mama, baba na mtoto (RCH) kwenye kituo cha afya Nduruma lengo likiwa ni kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi waishio maeneo ya pembezoni.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.