Karibu kwenye tovuti rasmi ya Halmashauri ya wilaya ya Arusha , ambapo utapata taarifa mbalimbali kuhusu majukumu ya Halmashauri ya wilaya katika kuratibu na kusimamia madaraka na majukumu ya Mamlaka zote za Serikali za Mitaa zilizopo wilayani Arusha katika masuala yanayohusu miundombinu, matumizi ya ardhi, afya, udhibiti na uzuiaji wa moto.Tunaamini kwa kushirikiana na wadau katika maeneo tofauti tofauti ili kuweza kuleta maendeleo endelevu kwa wananchi wa wilaya ya Arusha. Kwa kulitambua jambo hilo Halmashauri ya wilaya ya Arusha...
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.