Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, nawatangazia waombaji wa nafasi za Udereva waliokidhi vigezo kufika kwenye usahili utakaofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Siku ya Tarehe 28/12/2018 Saa Mbili Kamili Asubuhi.
Bofya Hapa chini kuona majina na Tangazo.↓↓↓
Orodha ya Majina ya Watu walioitwa kwenye Usahili.pdf
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.