Friday 9th, May 2025
@Olturumet Hospitali
Katika wiki ya chanjo kitaifa, Halmashauri ya Arusha inategemea kuzindua wiki ya chanjo ya kukinga Saratani ya mlango wa kizazi 'HPV' kwa wasicha wenye umri wa miaka 14 kwa awamu ya kwanza.
Uzinduzi utafanyika kwenye Hospitali ya Wilaya ya Olturumet, na zoezi la kutoa chanjo litaendelea kwenye vituo 50 vinavyotoa huduma za chanjo ndani ya halmashauri ya Arusha.
Chanjo itatolewa kwenye maeneo matatu ambayo ni Kwenye vituo vya Afya, Shuleni na huduma ya mkoba 'mobile outrich'.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.