Friday 9th, May 2025
@KAMPENI YA UTOAJI DAWA ZA MINYOO NA MATONE YA VITAMINI A.
KAMPENI YA UTOAJI DAWA ZA MINYOO NA MATONE YA VITAMINI A KWA WATOTO (1-5)
Kampeni ya kutoa dawa za Minyoo na Matone ya Vitamini A kufanyika halmashauri ya Arusha kwa watoto wenye umri wa miezi 12 mpaka miezi 59 ( mwaka 1 - 5).
Huduma hizo zinatolewa kwenye vituo vyote vya kutolea huduma za afya ndani ya halmashauri kuanzia tarehr 07. 12. 2022 - 05. 01. 2023.
Ewe Mzazi/Mlezi hakikisha mtoto wako amepata Kinga Tiba hii kwa kumpeleka mwanao kwenye kituo kilicho karibu nawe.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.