Friday 9th, May 2025
@Viwanja vya Ofisi za Makao Makuu Halmashari ya Arusha.
Wananwake Halmashauri ya Arusha wataadhimisha siku ya wananwake Dunia siku ya tarehe 08.03.2018 kwenye viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya Halmashauri ya Arusha kuanzi saa 04:00 asubuhi.
Wanawake wote na wadau wa maendeleo mnaombwa kushiriki katika maadhimisho hayo ambayo yataambatana na Maonesho ya bidhaa zinazotengenezwa na wanawake, maafunzo kwa wajasiriamali pamoja na uzinduzi wa Kampeni ya Viwanda.
Kauli Mbiu: Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Tuimarishe Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji wa Wananwake Vijijini.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.