Friday 9th, May 2025
@OLDONYOSAMBU SOKONI
MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2023 ZITAFANYIKA TAREHE 28.JUNI 2023,
MWENGE WA UHURU UTAPOKELEWA KWENYE VIWANJA YA SOKO LA OLDONYOSAMBU KATA YA OLDONYOWAS UKITOKEA HALMASHAURI YA LONGIDO
MWENGE WA UHURU UTAKIMBIZWA KM 88.4 NA KUKAGUA MIRADI YENYE THAMABI YA SHILINGI BILIONI 8.5
MWENGE WA UHURU UTAKESHA KWENYE VIWANJA VYA HALMASHAURI YA ARUSHA ENEO LA SEKEI
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.