Friday 9th, May 2025
@UKUMBI WA MIKUTANO HALMASHAURI YA ARUSHA
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI WA KUPITIA RASIMU YA MPANGO WA BAJETI YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA UJAO WA FEDHA 2021/2022,
UTAKAOFANYIKA SIKU YA ALHAMISI TAREHE 25/02/2021 KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO HALMASHAURI YA ARUSHA KUANZIA SAA 03:00 ASUBUHI.
Wajumbe wote wanatakiwa kuhudhuria bila kukosa na kwa muda uliopangwa.
IMETOLEWA NA:
Elinipa J Lupembe - AFISA HABARI
Kny: MKURUGEZNI MTENDAJI
HALMASHAURI YA ARUSHA.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.