Friday 9th, May 2025
@
Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya ya Arusha, Alvera Ndabagoye, anawatangazia wananchi wote, kutakuwa na Mkutano wa Baraza la Madiwani (Full Council), utakaofanyika tarehe 05.03.2020, kwenye Ukumbi wa Mikutano halmashauri ya Arusha.
Mkutano huu ni wa kawaida kwa mujibu wa sheria za Serikali za Mitaa, utakaojadili shughuli za utekelezaji wa maendeleo kwa kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2019/2020, kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba mpaka Desemba, 2020.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.