Friday 9th, May 2025
@
Halamshauri ya Arusha inategemea kuadhimisha siku ya Upandaji Miti Kitaifa itakayofanyika tarehe 28/03/2018 kweny tarafa ya Enaboishu kwenye chanzo cha maji cha Saiteru katika kijiji cha Ilkiding'a kata ya Ilkiding'a.
Kauli mbiu: Tanznai ya Kijani inawezekana panda mti kwa maendeleo ya viwanda.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.