Sunday 11th, May 2025
@WANAFUNZI WA KUANZA SHULE YA MSINGI
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Halmashauri ya Arusha, inatangaza zoezi la uandikishwaji wanafunzi wa Darasa la Awali na la kwanza kwa mwaka 2023. kwa watoto wenye umri wa mika 5 - 6.
Mwisho wa uandikishaji ni tarehe 30 Desemba, 2022, Mtoto aandikishwe shule iliyo karibu na eneo analoishi.
"Elimu ni Haki kwa kila Mtoto, Mjali mwano mpatie elimu bora".
ARUSHA DC
KaziInaendelea✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.