Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, anawatakia kila lenye kheri wanafunzi wote wa Darasa la Saba, katika Mtihani wa Taifa wa kuhitimu Darasa la Saba, unaofanyika tarehe 07 - 08, Oktoba 2020.
"Ninawombea wanafunzi wote wanaofanya Mtihani wa Darasa la Saba 2020, Mwenyenzi Mungu awasimamie, wafanye vizuri na wapate Ufaulu wa juu, Taifa linawategemea" amesema Mkurugenzi Mtambule.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.