IFTAR YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, MHE. PAUL CHRISTIAN MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, anatarajiwa kuwaandalia hafla ya futari (Iftar) wananchi wa Arusha, viongozi wa dini na wazee wa mkoa huu. Iftar hiyo imepangwa kufanyika tarehe 27 Machi 2025 katika viwanja vya ofisi ya mkoa wa Arusha.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.