Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mheshimiwa Mwinyi A. Mwinyi, akiambatana na Kamati ya Maafa ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, ametembelea na kugawa msaada wa vitu mbalimbali kwa baadhi ya familia zilizoathirika na janga la moto lililosababisha nyumba zao kuungua katika Kata ya Kiranyi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.