Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Arusha, Mwl. Hossein Mghewa, anawatangazia wananchi wote wenye umri wa kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea, kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga Kura kuanzia Jumanne tarehe 08 - 14/2019.
Nenda ukajiandikishe kwenye vituo vilivyoainishwa kwenye Vitongoji vyote vya Halmashauri ya Arusha.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.