Mkuu wa Mkoa Arusha,Mhe.Paul Christian Makonda azitaka Halmashauri Mkoa wa Arusha kudhibiti mianya ya rushwa na upotevu wa mapato unaofanywa na baadhi ya Watumishi. Ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara ulifanyika eneo la Ngaramtoni ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kukagua miradi, kusikiliza na kutatua kero za Wananchi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.