• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TAARIFA YA MIRADI YA MAENDELEO ARUSHA DC KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19.

Posted on: August 23rd, 2019

Kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni, 2019, halmashauri ya Arusha imefanikiwa kutekeleza miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 6.6 kupitia mapato ya ndani, ruzuku kutoka serikali kuu, wahisani pamoja na fedha za nje ya ukomo wa bajeti.

Katika taarifa ilyowasilishwa kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani la robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2018/19, miradi hiyo imetekelezwa kwa asiliami 60.6 ya fedha za bajeti ya shilingi bilioni 3.8 iliyopangiwa na Bunge,  na asilimia 72 ya fedha nje za nje ya ukomo wa bajeti kiasi cha shilingi bilioni 2.8 na kufanya kutekeleza miradi kwa shilingi bilioni 6.6 .

Akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji ya Miradi ya Maendeleo, Afisa Mipango halmashauri ya Arusha, Anastazia Tutuba amefafanua kuwa, kiasi cha shilingi bilioni 3.8 sawa na asilimia 60.69 ni fedha kutoka kwenye bajeti ya shilingi bilioni 6.4,  zimetumika kutekeleza miradi ya maendeleo kisekta ikiwa ni Elimu, Afya, Maji, Mazingira, Kilimo na Ushirika, Mifugo, Ardhi, Fedha, Utawala na Mipango, fedha zilizotokana na Mapto ya Ndani, Serikali Kuu, wadau wa maendeleo na wahisani mbalimbali.

Ameongeza kuwa kiasi cha shilingi bilioni 2.0 kutoka kwenye bajeti ya shilingi bilioni 2.8 zilipokelewa kwa ajili ya Miradi ya jamii  TASAF, miradi maji ya vijiji kumi (NWSSP), Miradi ya Elimu ya Lipa kulingana na matokeo (EP4R) pamoja na miradi ya maji ya Lipa kwa Matokeo (PBR).

Aidha taarifa hiyo imetoa picha halisi ya kasi ya maendeleo inayofanywa na serikali ya awamu ya tano, ya kushirikiana na wadau na wahisani, kutoa fedha za mirdi  nje ya mpango wa bajeti zaidi ya shilingi bilioni mbili, fedha ambazo zimwezesha kufikisha maendeleo kwa wananchi wa hali ya chini katika vijiji vyote na kata zote.








Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.