Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera, anawatangazia wafanyabiasha wadogo wote kuwa kuanzia tarehe 02.05.2019 kutakua na ukaguzi wa vitambulisho vya *MACHINGA*
Wote mnatakiwa kuwa na vitambulisho hivyo, na kuvivaa shingoni wakati wa kufanya biashara.
Endapo utabainika huna kitambulisho, hutaruhusiwa kufanya biashara katika eneo la Arusha.
Vitambulisho hivyo vinapatikana ofisi za Watendaji wa kata na Vijiji, wahi ukachukue ili uweze kutambuliwa.
Atakayesoma tangazo hili amuarifu na mwenzake.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.