UFUNGUZI WA SIKU 10 ZA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN MKOA WA ARUSHA.
Wananchi waliyojitokeza kwenye siku ya Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa Mkoa wa Arusha, uzinduzi ulifanywa na Mkuu waMkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda unaofanyika katika Uwanja wa Ngarenaro leo, Machi 28, 2025.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.