• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA ELIMU ISIMAMIWE NA KUKAMILIKA KWA WAKATI - DKT. MSONDE

Posted on: August 16th, 2022

Asila Twaha, Tabora


Naibu Katibu Mkuu(Elimu) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Charles Msonde amewataka Maafisa Elimu Mkoa na Maafisa Elimu Sekondari wa Halmashauri kusimamia miradi ya elimu kukamilika kwa wakati ili kuepuka hoja za ukaguzi katika utekelezaji wa miradi hiyo.

Ameeleza hayo Agosti 15, 2022 Mkoani Tabora  wakati akifungua  kikao kazi cha Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Maafisa hao kuhusu Usalama wa Mazingira na Jamii katika kutekeleza mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (Tanzania Secondary Education Quality Improvement Project - SEQUIP) katika maeneo yao ili kuepuka changamoto  zinazoweza kutokea katika utekelezaji wake.

Ameendelea kufafanua Serikali inaendelea kujenga na boresha miundombinu ya elimu na fedha za mradi wa SEQUIP ni kuboresha elimu ya sekondari, kuongeza fursa ya upatikanaji wa elimu, kupunguza vikwazo vinavyosababisha wanafunzi kuacha shule, kuwasaidia wanafunzi kumaliza elimu bora ya sekondari na kupunguza changamoto za upatikanaji wa elimu nchini.

Dkt. Msonde amewataka maafisa hao katika kusimamia ujenzi wa shule hizo kuepuka migogoro ya ardhi inayoweza kutokea na kusababisha matatizo kwa kutokuendelea kwa ujenzi,  vilevile kusimamia ujenzi ili uendane na thamani ya fedha iliyotolewa, pia kusimamia utekelezaji wa ujenzi  uzingatie muda uliowekwa ili ukamilike kwa wakati na  shule hizo ziweze kutumika na wanafunzi kwa haraka.

“Ninyi ni wabobezi katika usimamizi na utekelezaji wa elimu tushirikiane sote  ili miradi hii iwe yenye kuleta tija katika Taifa letu” amesema Dkt. Msonde

Awali akitoa maelezo mafupi Mkurugenzi Msaidizi Idara Usimamizi wa Elimu Ofisi ya Rais – TAMISEMI Bi. Hadija Mcheka ameueleza Naibu Katibu Mkuu Dkt. Charles Msonde kuwa, kikao hicho kitakuwa cha siku mbili kwa kujengewa uwezo kwa maafisa hao  kwa kufundishwa mada mbalimbali kutoka kwa wataalam ili kujipa na kuzifahamu taratibu za usimamizi wa mradi na kupata nafasi ya kutoa maoni katika kufanikisha mradi unatekelezwa kwa ufanisi.

Naye Afisa Elimu Mkoa wa Tabora Bw. Juma Kaponda akiongea kwa niaba ya watendaji hao ameishukuru Serikali kwa kuendelea kujenga na kuboresha miundombinu ya elimu na kuahidi kuisimamia kwa kutekeleza na kufuata sheria, miongozo na  taratibu zinazowataka kwa kuhakikisha sekta elimu inakuwa na manufaa kwa Taifa.


SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI

JIANDAE KUHESABIWA 23.08.2022








Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.