• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya maji Ngaramtoni-NGAUWSA watakiwa kutimiza ndoto za wananchi za kupata maji safi na salama

Posted on: March 27th, 2018

Wajumbe wa bodi mpya ya Mamlaka ya Maji Ngaramtoni ( NGAUWSA) wametakiwa  kutumiza ndoto za wananchi na wakazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo Ngaramtoni kwa kuhakikisha wananchi hao, wanapata maji safi na salama kama sera ya serikali inavyoelekeza.    
       Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Maji, halmashauri ya Arusha, mheshimiwa Diwani Raymond Lairumbe wakati akifungua semina elekezi iliyotolewa kwa wajumbe hao wa bodi kabla ya kuzinduliwa kwa bodi hiyo na kuanza kazi rasmi.          Mheshimiwa Lairumbe amewataka wajumbe hao wa bodi kutumia nafasi waliyopewa na taifa, kupambana na kutatua changamoto za upatikanaji wa maji kwa wananchi wa mji mdogo wa Ngaramtoni tofauti na hali ilivyo sasa. 
     Ameongeza kuwa kimsingi, wananchi wa  halmashauri ya Arusha, hawakutakiwa kuwa na tatizo la upatikanaji wa  maji, kutokana na uhalisia wa vyanzo vya maji vipo ndani ya halmshauri yao.
      Aidha mhe. Lairumbe amethibitisha kuwa, ukosefu huo wa maji, unatokana na usimamizi hafifu uliokuwepo wa miradi ya maji iliyokuwepo, uharibifu wa mazingira ya vyanzo vya maji pamoja na usimamizi hafifu wa fedha za watumia maji , hali iliyosababisha kushindwa kufanya matengenezo ya miundo mbinu ya maji.  
      Hata hivyo amewataka wajumbe hao, kutumia dhamana waliyopewa, kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji pamoja na  uchangiaji wa gharama za maji kwa ustawi wa miradi ya maji na upatikanaji  endelevu wa maji safi na salama. 
      " Tumieni muda mwingi kuweka mikakati ya utunzaji wa vyanzo vya maji,uendeshaji na uendelezaji wa miradi ya maji ili wananchi wapate huduma,zaidi usimamizi wa mamlaka ya maji kwa masuala ya fedha ili mapato yatumike kutoa huduma kwa wananchi wengi zaidi" amesema Lairumbe
      Meneja wa Mamlaka ya Maji Ngaramtoni - NGAUWSA  Clayson Kimaro, amesema kuwa lengo la mafunzo hayo, ni kuwajengea uwezo wajumbe wa Bodi juu mwongozo wa bodi na majukumu ya wajumbe,  pamoja na kufahamu Sera ya maji ya taifa ya mwaka 2029 na sheria na. 12 ya mwaka 2009.           Naye Mhandisi wa maji mkoa wa Arusha, Mhandisi Joseph Makaidi, ametaja majukumu ya bodi ni pamoja na kupitisha miradi ya maji, kupitisha bajeti na kudhibiti mapato na matumizi ya NGAUWSA , kutafakari masuala ya kisera kulingana na hali halisi, ili sera ziendane na mabadiliko ya kila  wakati na kuwasilisha mapendekezo yote kwa waziri mwenye dhamana.
       Naye mwenyekiti wa Bodi ya NGAWSA , ndugu John Sirikwa ameahidi kushirikiana na wajumbe, watalamu wa maji na wananchi ili kuweka mikakati endelevu, itakayowezesha upatikanaji wa maji safi na salama sambamba na utunzaji wa mazingira.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.