• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi wanaotumia barabara ya Mianzini Timbolo wakiri kuanza kuona maendeleo nyumbani

Posted on: March 5th, 2018

Wananchi wanaotumia barabara ya Mianzi - Timbolo iliyotengenezwa kwa kiwango cha lami wamekiri kuanza kuona maendleo nyumbani kwa kuona manufaa ya barabara ya lami ingawa imetengenezwa kwa umbali mfupi ukilinganisha na urefu wa barabara hiyo. 

Wakizungumza na mwandishi wetu wakazi wa Mianzini eneo la kwa Loning'o wamethibitisha kuridhishwa na ujenzi wa barabara hiyo na kudai kuwa tayari wameanza kuona mwanga wa maendeleo katika eneo lao. 

Wamesema kuwa uwepo wa lami katika barabara hiyo ni neema kwao kwani wameisubiri  tangu kuzaliwa kwao na kuongeza kuwa barabara hiyo imerahisisha usafiri kwa wakazi na wafanyabiashara wanaosafirisha mazao kutoka maeneo ya mlimani na kuyaleta mjini. 

Hata hivyo wakazi hao wameiomba serikali kuongeza umbali wa ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ifike mwisho na kuifanya barabara yote kuwa ni ya kiwango cha lami. 

John Loshilu mkazi wa Mianzini amethibitisha kupata neema hiyo ya barabara kwa kusema kuwa wamenza kuona maendeleo katika eneo lao ambayo hayajawahi kutokea tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika. 

" Awamu hii ya tano tumeanza kuyaona maendeleo, lami tulikuwa tunaiona mjini leo imefika katika eneo letu, kwa kweli hata kama haijafika mwisho lakini ni bora kuliko lile vumbi lilokuwa linatimka kwenye hii barabara" amesema Loshilu. 

Barabara ya Mianzini - Timbolo yenye urefu wa takribani Kilomita 9 imejengwa kwa kiwango cha lami urefu wa Mita 800 kwa gharama ya shilingi milioni 408 fedha za ambazo hutolewa na serikali kama ruzuku ya barabara. 

Naye meneja wa TARURA Mhandisi Kilusu Teteana amesema kuwa mpaka sasa wamemaliza hatua ya kwanza ya kutengeneza Mita 800 za barabara hiyo na kuongeza kuwa wataendelea kutengeneza barabara hiyo na kuikamilisha kadiri fedha zitavyopatikana. 

Hata hivyo mhandisi Kilusu amewataka wananchi hao kuitunza barabara hiyo kwa kuacha tabia ya kuelekeza mifereji ya maji kwenye barabara pamoja na kuendelea kutunza hifadhi za barabara.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.