• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watahiniwa 5, 832 Arusha DC, kuanza Mitihani ya Taifa Kidato cha Nne kesho

Posted on: November 3rd, 2019

Na. Elinipa Lupembe.

Jumla ya watahiniwa 5,832 halmashauri ya Arusha, wilayani Arumeru, wanategemea kuanza mitihani yao ya Taifa kesho Jumatatu, mitihani ya kuhitimu kidato cha nne mwaka 2019.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Alvera Ndabagoye, amesema kuwa, watahiniwa hao, watafanya mitihani hiyo kwenye shule za sekondari 48, ndani ya halmashauri hiyo na kuwataka watahiniwa na wasimamizi wote, kuepuka aina yoyote ya vitendo vya udanganyifu badala yake kufuata kanuni, taratibu, Sheria na miongozo yote ya mitihani  ya Taifa ikiwa ni pamoja na kuzingatia taratibu za  watahiniwa wenye mahitaji maalum.

Aidha amethibitisha kuwa, maandalizi yamekamilika, na wanategemea kuanza mitihani hiyo kesho, kufuatia ratiba iliyotolewa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) na kuthibitisha kuwa watahiniwa wote wameandaliwa vizuri kisaikolojia na wanategemea kufanya mitihani yao kwa amani na utulivu.

Hata hivyo, Afisa Elimu Sekondari, halmashauri ya Arusha, mwalimu Menard Lupenza, amefafanua kuwa, watahiniwa watakaofanya mitihani hiyo ni pamoja na watahiniwa wa shule (school canditates), watahiniwa wakujitegemea (private candidates) pamoja na watahiniwa wa Maarifa (QT).

Aidha ametaja idadi ya watahiniwa  wa shule ni 5,058, ikiwa wavulana 2,115 na wasichana 2,943, watahiniwa wa kujitegemea ni 680 huku watahiniwa wa Maarifa - (QT) ni 94 na kufanya, halmashauri ya Arusha, kuwa na jumla ya watahiniwa 5,832 kwa mwaka 2019.

Aidha Afisa Elimu Lupenza, amethibitisha kukamilika kwa maandalizi na halmashauri kuwa na mategemeo ya watahiniwa hao kuleta matokeo mazuri, kutokana na mkakati wa kutokomeza alama sifuri kwa watahiniwa wote.

Aidha, Halmashauri ya Arusha inawatakia watahiniwa wote, kila la Kheri katika mitihani yao, kufanya mitihani kwa amani na utulivu ili kupata matokeo mazuri.

RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2019

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.