Na. Elinipa Lupembe.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha anawatangazia wazazi/walezi wenye watoto wa kuanzia umri wa miaka 5 mpaka 14, kuwapeleka watoto hao kupata Kinga Tiba ya ugonjwa wa Kichocho na Minyoo Tumbo.
Kinga Tiba hiyo inatolewa kwenye shule zote za Msingi za Serikali na za binafsi kwa muda wa siku mbili tarehe 3-4/03/2021 yaani leo na kesho tu.
.Zoezi litaanza saa 02:00 mpaka saa 1000 jioni.
.Ewe Mazazi/ Mlezi mpeleke mwanao akapate Kinga Tiba hiyo muhimu kwa afya na Makuzi yake hata kama mtoto huyo hajaandikishwa shule.
KINGA NI BORA KULIKO TIBA
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.