Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Bw. Seleman Msumi amewataka Madereva wa Halmashauri hiyo kuendelea kutii sheria na kuzingatia kanuni na taratibu za utumishi na usalama barabarani ili kuleta ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao ya kia siku.
Ameyasema hayowakati alipokuwa akizungumza na madereva hao Katika kuboresha mazingira ya kazi kwa watumishi na kutambua mchango wao ambapo amewashonea sare Madereva wake ili kujenga uimara na ufanisi katika utendaji wa kazi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.