Mtendaji mkuu wa Mamlaka ya Mji mdogo Ngaramtoni anawatangazia wananchi wote wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Ngaramtoni kulipia kodi za majengo katika ofisi za kata na vitongoji pamoja na ofisi ya mji mdogo wa Ngaramtoni mwisho wa kulipia ni tarehe 15/07/2017.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.