Friday 9th, May 2025
@Halmashauri ya Arusha
Mkurugenzi Mtendaji halmshauri ya Arusha, anawatangazia wananchi wote ndani ya Halmashauri ya Arusha, kuacha kutengeneza, kununua au kutumia mifuko ya PLASTIKI (Malboro) kuanzia tarehe 01. 06.2019.
Yeyote atakaye kiuka agizo hilo, hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
****Tunawatakia Utekelezaji Mwema***
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.