Friday 9th, May 2025
@ENABOISHU ACADEMY
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongela anawakaribisha wananchi wote kuhudhuria kwenye Kilele cha Upandaji Miti mkoa wa ARUSHA, maadhimisho yatakayofanyika tarehe 08.04.2022, kwenye shule ya Msingi Enaboishu kitongoji cha Mringa kata ya Oloirieni, halmashauri ya Arusha wilaya ya ARUMERU.
Mti wangu, Taifa langu, Mazingira yangu, Kazi Iendelee✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.