Friday 9th, May 2025
@Shule ya sekondari Mukulat
Halmashauri ya Arusha inategemea kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani itakayofanyika tarehe 28.05.2018 kwenye viwanja vya shule ya sekondari Mukulat kata ya Lemanyata.
Wananchi wote wa kata ya Lemanyata na kata za jirani wanaombwa kuhudhuria maadhimisho hayo
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.