Friday 9th, May 2025
@VIWANJA VYA SHUOE YA SEKONDARI OLDADAI
Mwenge wa Uhuru 2022, utapokelewa katika halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru, tarehe 23.06.2022 saa 12.00 asubuhi, kwenye viwanjwa vya shule ya Sekondari Oldadai kata ya Sokon II, ukitokea halmasahuri ya Jiji la Arusha.
Katika halmashauri ya Arusha, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa Kilomita 90.4 na kutembelea jumla ya Miradi 9 yenye thamani ya shilingi bilioni 4.5 katika sekta Elimu, Afya, Maji, miundombinu ya Barabara pamoja na uwekezaji wa viwanda.
Mkesha wa Mwenge wa Uhuru utalala kwenye viwanja vya ofisi za Makao Makuu ya Halamshauri ya Arusha eneo la Sekei.
Wananchi wotet tjitokeze kupokea, kukimbiza na kukesha na Mwenge wetu wa Uhuru 2022.
Kauli Mbiu : "SENSA NI MSINGI WA MIPANGO YA MAENDELEO, SHIRIKI KUHESABIWA TUYAFIKIE MAENDELEO YA TAIFA"
mwenge wa Uhuru oyeeeeeee!!!!!
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.