Friday 9th, May 2025
@SHUEL ZA MSINGI/SEKONDARI
MCHANGANUA WA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA SERIKALI KUU KUTEKELEZA UJENZI NA UKAMILISHAJI MIUNDOMBINU SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI:-
1. Milioni 180 - Ujenzi wa vyumba 9 vya madarasa shuoe za msingi.
2. Milioni 87.5 - Ukamilishaji wa vyumba 7 vya madarasa shule za Msingi.
3. Milioni 200 - Ujenzi wa nyumba 4 za walimu shule za Msingi za pembezoni
4. Milioni 22 - Ujenzi wa matundu 20 ya vyoo shule za Msingi.
5. Milioni 30 - Ujenzi wa Uzio shule ya Msingi Ilboru yenye kitengo cha Elimu Maalum.
6. Milioni 20 - Ukamilishaji Bweni 1 shule ya Sekondari Oldadai
7. Milioni 50 - Ukamilishaji wa Vyumba 4 vya Maabara shule mbili za Sekondari
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.