Friday 9th, May 2025
@Ukumbi wa Mikutano
Kutakua na mkutano wa Baraza la Madiwani la kujadili taarifa za kipindi cha robo ya pili cha kuanzia mwezi Oktoba mpaka Disemba, 2018.
Mkutano huo utafanyika tarehe 18.02.2019 kwenye Ukumbi wa Mikutano halmashauri ya Arusha, kuanzia saa 04:30 asubuhi mpaka saa 08:39 mchana.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.