Friday 9th, May 2025
@SHULE 48 ZA SEKONDARI
Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatakia kila la Kheri, wanafunzi wote wanaofanya mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha 4 mwaka 2021, utakaofanyika kuanzia tarehe 15 .11 - 05.12. 2021.
Mwenyenzi Mungu awasimamie wote!!
ARUSHA DC KaziInaendelea✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.