Friday 9th, May 2025
@UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA DC
Halmashauri ya Arusha inategemea kuanza vikao vya kisheria kwa ajili ya maanadlizi ya Mpango wa Bajeti ya Mapato na Matumizi kwa mwaka ujao wa Fedha 2022/2023,
kutakuwa na jumla ya Vikao 9 kwa mujibu wa sheria za Serikali za Mitaa kuanzia terehe 13 - 25/01/2022.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.