Friday 9th, May 2025
@Shule ya Msingi Ngaramtoni
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha, Dkt. Wilson Mahera, anawatangazia wananchi wote, kushiriki maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yatakayofanyika tarehe 18.06.2019, kwenye viwanja vya shule ya Msingi Ngaramtoni kata ya Olturumet, kuanzia saa 02:30 asubuhi.
Maadhimisho hayo yataambatana na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na watoto wenyewe, ikiwemo burudani zilizobeba jumbe mbalimbali zinazohusu Haki, Wajibu na Maendeleo ya Mtoto wa Afrika.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.