Friday 9th, May 2025
@
Mkurugenzi Mtendaji halnashauri ya Arusha, anawatangazia wananchi wote Mafundi wa kujenga nyumba za Serikali kuleta maombi ya Ujenzi wa Ofisi ya Uthibuti Ubora wa Shule.
Nyaraka zinapatikana Ofisi ya Ukaguzi wa Shule - Jengo la Elimu Msingi.
Maombi yote yatumwe kwa:
Mwenyekiti Kamati ya Ujenzi,
S.L,P 2330,
ARUSHA.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI 23/05/2019 SAA 04:00 ASUBUHI.
Maelezo yote yanapatikana kwenye barua chini
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.